Joe Unruly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 203
- 187
Anawauliza "Gentlemen is the meal to your satisfaction??"Yani ndo namuonaa hapaa kwa mara ya kwanzaaa... Mr walt kaja kumeet nae hotelini hapa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nina hesitate kuianza the Americans, mnishauri please....!
Upo kama mimi, kila nikijaribu kuianza nahisi uchovu.
Kuna kipindi wakati GoT ipo hot nilishawishika namimi nianze kuichek, daaah niliishia episode 2 tu za mwanzo nikaona maruweruwe nkaipiga chini. Ila baada ya kukosa kabisa cha kuangalia nikabidi niirudie aiseee mbona nikawa mlevi wa GoT mazimaaaa
Haaah.. labda haujaelewa maudhui ya series mkuu! Ni nzuri sana ukiielewa.Yani mkuu nkawa naona naangalia tu ili mradiii kuna mabunduki bhasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eztvtorrents ndio mwisho wa matatizo yako.Terrarium tv imerudi ila mizinguo mingi movie nyingi wanakwambia no link available.... Naomben pa kupata money heist.... Nmejarib kupitia index of money heist ila nkiweka kwenye pc yangu haineshi picha nasikia sauti pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Condor ipo vizuri sana aisee
My #1 Series... na linapokuja suala la espionage series, sidhani kama kuna ya kuikaribia!Huwa nina hesitate kuianza the Americans, mnishauri please....!
Akili kubwa ya Einsten au?????Kwamba yale mafarasi na mapanga kuangalia watu wanapigana tu inahitaji akili kubwaa????
Acha utani kijanaa kuna series zinahitaji akili lakini huo Upuuzi unahitaji Mtu ambae yeye series anaangalia ili mradi kaangalia tuu... Hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe zilikataa ku play kwenye VLC....nikainstall player inaitwa Pot player , hii ni kiboko mizigo yote inasoma bila chenga.Terrarium tv imerudi ila mizinguo mingi movie nyingi wanakwambia no link available.... Naomben pa kupata money heist.... Nmejarib kupitia index of money heist ila nkiweka kwenye pc yangu haineshi picha nasikia sauti pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo naanza kuichek hapa,nilimmiss mzee mwwnye siri nying na fundi wa kujiamin na mipango Red ReddingtonBlacklist season 6 imeanza