Ozark sijaiona mkuu..Seal Team season 2 imeishia December hii, kesho naishusha nzima nzima (internet ya ofisi)
Leo nakomaa nimalize Titans S1 , kesho jioni nianze hii Breaking Bad,
Nasikia Ozark pia ni kali
Come wipe down here....Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.
Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.
Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
Season 1 Iko pouwa....sema haina mwendelezo ili be canceledThe Brave S1 ipo njema kama hujaicheki ipitie
Robin Hood tayali imekuwa HD??maana naona bado ni CAM pamoja na Creed ||Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.
Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.
Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
Ha ha ha ha ha, Mkuu nimecheka kinoma ha ha haMkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..
Yaani hata wangesema tuchange hata buku 20 ili GOT itoke 2018 mimi ningetoa hio pesa aiseeh..
Yaani the 100 ziwe buku ndo utapata utamu wa GOT 1
Umeongea ujinga mzeee... The 100 achana nayo kabisaaa...!! Hiyo GOT hakuna kitu paleeee... labda kama mtu alikuadithia kwanza ndo ukaenda kuiangaliaa... Ujingaa tu ulee na kale kajamaa kafupi series inaenda enda tuu...Mkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..
Yaani hata wangesema tuchange hata buku 20 ili GOT itoke 2018 mimi ningetoa hio pesa aiseeh..
Yaani the 100 ziwe buku ndo utapata utamu wa GOT 1
Hutojutia kuangalia hiyo movieNaishusha THE LAST SHIP S1-S5 . Hivi mliowahi kuicheki , je sitajutia muda wangu?
breaking bad & titans ziko poa sana..Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.
Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.
Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
ozark kali sana...OZARK & CONDOR the best series of 2018 kabla mwaka haujaisha make sure umeanza angalau moja kati ya hizo mbili
ndivyo series nyingi zilivyoMwishoni kama walianza kupoteana
Yea mkuu fanya kweli! Mimi hua siangalii vitu vya kubabaishaozark kali sana...
hii condor itabidi niishushe sasa
hahaha haina noma mkuu...Yea mkuu fanya kweli! Mimi hua siangalii vitu vya kubabaisha
Hapana,ni kitu kali sio ...niweke kwenye wishlist?hahaha haina noma mkuu...
umeicheki Jack Ryan?
itafute mkuu uje unipe mrejesho hapaHapana,ni kitu kali sio ...niweke kwenye wishlist?
Zote nimeangalia hii The 100 ilikua nzuri season ya mwanzo tu uko mbeleni umepoteza utamu mazima.Umeongea ujinga mzeee... The 100 achana nayo kabisaaa...!! Hiyo GOT hakuna kitu paleeee... labda kama mtu alikuadithia kwanza ndo ukaenda kuiangaliaa... Ujingaa tu ulee na kale kajamaa kafupi series inaenda enda tuu...
Siwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe...Zote nimeangalia hii The 100 ilikua nzuri season ya mwanzo tu uko mbeleni umepoteza utamu mazima.
GOT mwanzo unaweza usielewe ila ukitulia hakika hutajuta kupoteza mda wako.Na nakushauri angalia zaidi ya mara moja mana kama ni kichwa panzi uwezi elewa
GOT ni habari ingine kabisa
hiyo the 100 season mpya nadhani watarudi kama mwanzo maana season ya mwisho walianza kujirekebishaZote nimeangalia hii The 100 ilikua nzuri season ya mwanzo tu uko mbeleni umepoteza utamu mazima.
GOT mwanzo unaweza usielewe ila ukitulia hakika hutajuta kupoteza mda wako.Na nakushauri angalia zaidi ya mara moja mana kama ni kichwa panzi uwezi elewa
GOT ni habari ingine kabisa
GOT inatakawa watu wenye akili kubwa kuchanganua mambo mzee ile sio "Jumba la dhahabu" ama merlin..ukizoea series rahisi rahisi ambazo unaweza bashiri jambo litakalofata.Bhasi hutaiweza.Hii mambo inawenyewe na wenyewe ndio sisiSiwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe...Huo muda sinaaa...!!
The 100 now hata me nimeipotezea naona imeanza machenga chenga mkuu kiukweli... Ila zile season za mwanzo aisee acha kabisa... Kina Octavia kule porinii ule mziki mwingne...
Yes, nimechoipendea ina uhalisia wa maisha tena ya kawaida kabisa, uongo ni kiasi kidogo sana. Kwanza Walter White na Skyler ni familia moja ambayo inaonesha uhalisia haswaa! Breaking Bad is real nyc!Breaking bad iko level za prison break mkuu..
Yaani ni bonge la kitu..
Ukimaliza season ya 1 ukaona mchezo unavyoenda utamkubali walter white..
Maana jamaa ni akili nyingi halafu kitu kina kama kaukweli flani tofauti na series kama la casa de papel ambazo utaona uongo ni mwingi