Hivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...
Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Asante mkuu
Kila mtu anaikubali ngj nikaichkyNi noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914"i noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914
Gb 13 Halotel kinaa kwa wiki moja tu gharama elfu 5Sh ngap
Mi ndo Niko episode ya 4 hapaNimeicheki Mkuu..
Hawa jamaa ni noma sana...salute kwa waamerika ya kusini.
Hatakua anaongelea ule ya Pablo , wakati Kuna nyingine wameiachia Netflix season ya 1 tuHebu leta link ya season 2 na 3
Naona ni gharama zaidi.Gb 13 Halotel kinaa kwa wiki moja tu gharama elfu 5
Ugumu wake uko wap Mkuu.?Duh,,startup ngumu sana,,ni nzuri kwa mtu wa IT
Gb 13 Halotel kinaa kwa wiki moja tu gharama elfu 5
Ugumu wake uko wap Mkuu.?
Kuielewa au?
Kuhusiana sio lazima characters au hata storyline iwe ile ile! Better Call Saul kwa mfano... huwezi kupinga kwamba haihusiani na Breaking Bad wakati ni character ile ile ya Better Call Saul ya Breaking Bad ndiyo ikazaa Better Call Saul series!Narco mexico haihusiani kabisa na Escobar....inanga kuna kama dakika 15 kweny series nzima ndio kahusishwa pablo.
Inazungumzia suala la Ngada enzi hizo kwwnyw taifa la Mexico.
Tofaut na ile Ya pablo kabisa.
Mtandao gani?Naona ni gharama zaidi.
Mimi binafsi kama nataka kushusha series kuna zile gb 10 za usiku. Kwa buku jero tu.
Breaking Bad unavyoianza inatia usingizi sana lakini kama utaweza kuivumilia huku mwanzoni, utakuja kuniambia kwamba ni one of the best series kuwahi kutokea! Kama umeweza hadi episode ya 4, jikongoje tu hivyo na mwishowe hautojuta kupoteza muda wako!Hivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...
Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Nilipoianza Breaking Bad niliiacha. Nikaja kuiendeleza afta kama miezi 9 kiuchovu chovu, huku mbele ni tamu aisee.Napenda action mf 24 nk but BB iko vzrBreaking Bad unavyoianza inatia usingizi sana lakini kama utaweza kuivumilia huku mwanzoni, utakuja kuniambia kwamba ni one of the best series kuwahi kutokea! Kama umeweza hadi episode ya 4, jikongoje tu hivyo na mwishowe hautojuta kupoteza muda wako!
The Wire nayo ni bonge la series labda kama sio taste yako!!
Huwezi kutaja series bora bila kutaja Breaking Bad na The Wire!
Kwa haraka haraka, angalau 50% ya watu walioitazama Breaking Bad hadi mwisho, hapo mwanzo waliitazama lakini wakaiacha kwa kuona inaboa! Yaani usivyopata mtu wa kukui-encourage kuendelea kuiangalia, lazima uachie episodes za mwanzo!Nilipoianza Breaking Bad niliiacha. Nikaja kuiendeleza afta kama miezi 9 kiuchovu chovu, huku mbele ni tamu aisee.Napenda action mf 24 nk but BB iko vzr
Mkuu mbona ni buku tu tangu mwezi wa ramadhanNaona ni gharama zaidi.
Mimi binafsi kama nataka kushusha series kuna zile gb 10 za usiku. Kwa buku jero tu.
kuna iz apa mm nliziinjoy mno an...Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Halotel.Mtandao gani?
Kuhusiana sio lazima characters au hata storyline iwe ile ile! Better Call Saul kwa mfano... huwezi kupinga kwamba haihusiani na Breaking Bad wakati ni character ile ile ya Better Call Saul ya Breaking Bad ndiyo ikazaa Better Call Saul series!
Tukija suala la Narcos vs Narcos: Mexico.... waandaaji wa series zote mbili ni wale wale na sources za kuaminika zinasema Narcos Mexico ilitaka kuwa Season 4 ya Narcos lakini baadae wakaifanya iwe series inayojitegemea!
Kwa kuangalia jicho la kibiashara, wamecheza sana kwa sababu kuna mengi ya kuongea kuhusu Mexican Narcos na endapo wangefanya kuwa season 4 ya Narcos, ingekuwa wamebugi vibaya mno!!