Series (Special thread)

Ni tofauti na ile Narcos inayomzungumzia Escobar au ni mwendelezo wake tu?! Sounds like yale mambo ya 24, 24 Legacy, 24 Another Day lakini zote ni 24 tu!

Narcos zote zina watu tofauti ila lazima zinamhusisha escobar maana yeye ndio alikuwa supplier mkubwa

Hii inahusu bangi then wanaanza kupitiaha mzigo wa cocaine wa medelin cartel na cali cartel kupitia mexico kwnda USA
 
Wakuu samahanini kwa kutoka nje ya maudhui ya uzi

Naombeni site za movies ambazo sio torrent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom