Series (Special thread)

Ryan Jack ndio nimetoka kuimaliza sasa hivi, Episode ya 8.. Jamaa wako serious na Kazi...

The new 24 [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeiangalia G.O.T season ngapi kwani....
Mkuu kila mtu Ana aina yake ya Show anazozikubali na haimaanishi asipopenda unachopenda kwamba sio mtu wa Filamu. Ndio maana kuna watu wanapenda show za Comedy, Crime, Sci-Fi, nk..

Category hizo zimewekwa kwa lengo hilo.
In short mimi sipend show zenye technology sana au zile zenye maudhui ya kale mfano GOT, Vikings nk kwangu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706].


Show ninazopenda mimi ni mfano 24, Homeland, Banshee, Money heist, The Last Ship, Safe, Fargo, Power, Queen of the South, Shooter the list goes on yani..

So you ukija kwenye series yenye mlengo huo, njoo na swali afu utajua mimi ni mtu wa Show ama nini[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Jamaa tupo line Moja aisee [emoji122][emoji106]
 
[emoji123][emoji109][emoji109]
 
on queue

Dark -
Again, small time mystery, A cold and isolated German town where kids suddenly disappear, a local cop, a sad boy…Just watch it, it’s amazing.
 
I am in. The show is cool real. Recommended.
 
Mkuu hii kitu imetulia sana inaitwa Tom Clancys Jack Ryan.
 

Mkuu wewe kama mimi mizigo ya Ki FBI kama Blindspot, Blacklist ndo vitu vyangu hivyoo daah Blacklist naisubiri iendelee tuu bila kusahau Mizigo kama Ya zamani kama Badlands naelewa sans
 

Haupo serious kuiacha Blacklist, Designated survivor, Ray Donovan
 

hii ryan jack ndo jina lake au maana naitafuta siipat mkuu. msaada wa jina halisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…