Me bado sija malizia aiseeee... hivi into the badlands bado awaja tangaza tarehe ya kuachia vipande vengineNitaitafuta niendelee nayo, kuna kipindi ilinzakuwa slow nikaipotezea, ila inaweza kuwa slow halafu, paaa, linaibuka dubwana huko vuruguuu.
Ukiangalia series kama hizo sana ikitokea apocalypse unaweza kuwa umejifunza survival skills.
Siajiangalia, nimetoka kumaliza kuangalia "Billions" Season 3.Me bado sija malizia aiseeee... hivi into the badlands bado awaja tangaza tarehe ya kuachia vipande vengine
cheki kitu inaitwa the wire, breaking bad haitii mguuBreaking bad ndo ya kwanza kwenye list ya series bora zaidi duniani za muda wote... vikings ni kiboko
Unabishana na dunia kwenye hili?? Inamaana mamilion waliorate breaking bad kuwa ndio series bora kabisa hawana akili?cheki kitu inaitwa the wire, breaking bad haitii mguu
duh! samahani mkuu nsameheUnabishana na dunia kwenye hili?? Inamaana mamilion waliorate breaking bad kuwa ndio series bora kabisa hawana akili?
The wire.. notedcheki kitu inaitwa the wire, breaking bad haitii mguu
Hiii ikojeQueen of the South
[emoji28] [emoji28]Unabishana na dunia kwenye hili?? Inamaana mamilion waliorate breaking bad kuwa ndio series bora kabisa hawana akili?
Pilgrim[emoji28] [emoji28]Write your reply...into the badlands
Pilgrim[emoji28] [emoji28]Write your reply...into the badlands
Pilgrim[emoji23][emoji23]Write your reply...into the badlands
Ongeza na Training dayWadau naomba series zinazofanana na Queen of South, Gang related kifupi zinazodeal na Mexico
Bado sijaona kama prison break walahi
24 hatar sanaHomeland niliipenda sana...
Blindspot
NIKITA
24
COVERT AFFAIRS
Ngoja niitafute hiiKuna series moja iliishia njiani sijui walishindwana kwene malipo ilikuwa inaitwa TRAVELER ILIKUWA HATARI SANA INA SEASON MOJA NA EPISODE 7 tu