Aise, hii iko vzr sana ni Season 1 na ina epsode 10,,,inaelezea jinsi zile embassy za USA zilizolipuliwa 1998 huko Nairobi na Dar,, na jinsi al-qaida ilvohusika na Osama,, ni series tamu sana Aise maudhui yale kama ya The Brave, VALOR,,, imetoka Aprili mwaka huu