Series (Special thread)

Guzman huyu mafia au??? Hio series n documentary?
Alex Ni mtoto wa ex mafia wa Russia ambaye Yuko exile London...dogo yeye Ni banker ana firm yake ambayo mtajiri wanawekeza ..alianza umafia baada ya uncle wake Boris kuliwa na Russian mafia anatitwa Vadim....Ni tamu mno
 
Kwa mpenzi wa series kwa kipindi hichi tenga muda, download La Casa de Papel au money heist kama inavyojulikana, Then subiri weekend futa ratiba zako zote maana ukiianza hii kitu hubanduki. Hii kitu imekaa vizuri aisee, hata prison break haioni ndani kwa hii kitu. Its amazing!!.Pia usichukue iliyotafsiriwa kwa kiingereza, Chukua yenye spanish na subtitle za english ndio utaifaidi. Bella Ciao.......
 
Me nataka iliyotafasiliwa kwa kiingereza,, maana kusom subtitle maona kama kuna action zinanipita,, naipataje iyo? Nipe link
 
Jaman msaada
Naombeni mnielekeze jinsi ya kupata series ya money heist uenye soundtrack ya kiingeraza (English) maaana kusoma subtitle najikuta action nyngne znanipita
Cc Maserati, Leonard da vinci na wengne
sikushauri utumie ya kiingereza, na ni bora ungekuwa umeanza nayo kiingereza. Kwa ki hispania ndio nzuri
kuna torrent moja nimeona ina dual audio englisha na spanish ila sijadownload. so jaribu kama vipi
La.casa.de.papel.A.K.A.Money.Heist.S01.COMPLETE.DUAL-AUDIO.SPA-E (download torrent) - TPB
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…