Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
I love Stupid Tokyo...demu mbabe hatari ila Nairobi ni bonge la mshenz! Anamwambia yule baba eti you're the best hostage of the month..nilicheka mpaka mbavu zikaumaOK Nairobi
I love Stupid Tokyo...demu mbabe hatari ila Nairobi ni bonge la mshenz! Anamwambia yule baba eti you're the best hostage of the month..nilicheka mpaka mbavu zikaumaOK Nairobi
Not our taste anywayMimi pia ilinishinda
Kitu gani?Habari! Wakuu hii kitu imekuwa premiere tar 22 April 2018 hivo basi ni lini tutegemee kuipata? Maana doh zile teaser zake si mchezo lwa kweli.Ahsanteh
Kila kitu kina mwanzo!Wewewee bongo no one dare touching maserati aiseeeee. Sijawahi Ione ikila vumbi la bongo
Into the badland 3Kitu gani?
Ipo hewana mkuu ipakue tuInto the badland 3
Kiukwel mnanirusha roho na money heist maana nimeshindwa kuweka kwa lugha ya kiingereza bas ikanishinda hapo hapo,lakin kila siku mnanipa mzuka daaah sijui nifanyejeNot our taste anyway
Nisaidie link mkuu maana naitafuta mpaka nimechoka kwa sasa yaani hapa.nimeipata episode moja tu na huwa wanaanza kuachia moja moja sioIpo hewana mkuu ipakue tu
Nimeshaicheck! Fuata maelekezo ya xav beroNisaidie link mkuu maana naitafuta mpaka nimechoka kwa sasa yaani hapa.nimeipata episode moja tu na huwa wanaanza kuachia moja moja sio
Je huwa wanaweka zote au moja moja mkuu?Nimeshaicheck! Fuata maelekezo ya xav bero
Mzigo ni mkali hatari kuliko hata zile teasers! Nimemaliza kuiangalia mpaka utumbo unatetemeka.
So far hakuna series nzuri kwa mwaka huu ambayo imeshaifikia into the badlands nahisi ndio best tv series kwa 2018
Into the Badlands S03E01 HDTV x264-SVA EZTV Download Torrent - EZTVNisaidie link mkuu maana naitafuta mpaka nimechoka kwa sasa yaani hapa.nimeipata episode moja tu na huwa wanaanza kuachia moja moja sio
Moja mojaJe huwa wanaweka zote au moja moja mkuu?
Moja moja kila weekend wanaachia, ndio utaratibu wa series nyingi.Je huwa wanaweka zote au moja moja mkuu?
I don't care about lugha as long as kuna subtitles za kiingereza mie napata tu. Watu wanatamani kununua maserati hukoKiukwel mnanirusha roho na money heist maana nimeshindwa kuweka kwa lugha ya kiingereza bas ikanishinda hapo hapo,lakin kila siku mnanipa mzuka daaah sijui nifanyeje
siku naiona bongo nitachizika walahKila kitu kina mwanzo!
Kila jmatatu utakua unapakua episod mojaNisaidie link mkuu maana naitafuta mpaka nimechoka kwa sasa yaani hapa.nimeipata episode moja tu na huwa wanaanza kuachia moja moja sio
Ha ha ha haNimeshaicheck! Fuata maelekezo ya xav bero
Mzigo ni mkali hatari kuliko hata zile teasers! Nimemaliza kuiangalia mpaka utumbo unatetemeka.
So far hakuna series nzuri kwa mwaka huu ambayo imeshaifikia into the badlands nahisi ndio best tv series kwa 2018
Mimi season 1 nilipata yenye kiingereza ila season 2 ndio nimeangalia ya spanish kwa msaada wa subtitles, kama ukiihitaji hyo season 1 naweza kukutaftia link nikuwekee hapa.Kiukwel mnanirusha roho na money heist maana nimeshindwa kuweka kwa lugha ya kiingereza bas ikanishinda hapo hapo,lakin kila siku mnanipa mzuka daaah sijui nifanyeje