Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Hyo app ni kama imecrush nilikuwa nayo ila sikuhz imekuwa impotent. Nimeuinstall na kuistall upya...bado bilabila.Tumia terrerium tv kijana hutajutia wala haina mambo mengi
Naomba link ya ulikopakua the crossing please.No,,hukunielewa mwanzo,nilikua naulizoa hii The Crossing,asee nmepakua ep moja tu lakin mbele itakua moto,,namwona mdada mmoja alikua kwwnyw series moja siikukbuk jina vzr ila ilikua inatecnology sana ya kuwakamata wahalif,baadae waliikansel naiman,,APB kama sikosei..hii itakua tamu naiman
Mimi huwa nadownload kwenye cm natupia kwenye flash kisha na nachomeka kwenye TV.
Shida natamani niweze kuangalia na subtitle lakini imekua ni changamoto!.
Tuelekezane wajomba maana sometimes kingereza kinachoongewa nashindwa kuwaelewa moja kwa moja!
Ni motooooooNaomba link ya ulikopakua the crossing please.
Bado,sio mda sana itatokaJamani into the badlands season 3 bado tuu
UnamaNisha j3Kesho
Ingia Subscene - Passionate about good subtitles
Chini ya “seach engine box, click sehemu imeandikwa “change filter” kisha chagua “english” kisha “save changes”
Usipofanya hivi inakuletea subtitle za lugha zote, eg arabia, spanish, english, hebrew etc, ila uki-filter inakuletea subtitle files za english tu
Sasa ingiza jina la movie or series unayotaka kwenye search engine kisha bonyeza kitufe cha “search subtitle”
Chagua series or movie uitakayo
Itakupa movie/series kwenye format mbali mbali, chagua uitakayo, yaani inayofanana na movie uliyodownload, kwamfano hdtv264 or Xvid, webrip etc
Kisha download
Nenda kwenye download folder kwenye PC yako kisha extract file la subtitle ulilodownload
Copy file lako kisha li-paste kwenye folder uliloweka movie zako
Ili iplay, lazima subtitle file liwe sehemu moja na movie yako pia lazima majina yafanane, so change jina la subtitle file lako lifanane na movie yakoo...
The open movie yako, and weka subtitle “on”, utaona subtitle zinatokea
Kama zina pishana na maneno halisi, yaani hazija-sync, jua format zimetofautiana, so nenda karudie tena kutafuta yenye format sawa na movie yako
Kesho itakuwa hewaniJamani into the badlands season 3 bado tuu
The crossing umeishusha kwenye link gan?! Nimeshaitafta sana. Can u assist?!?The crossing iko vizurii...nilitaka achana nayo nilipoangalia season 1...ila season 2 na 3..ni motoo. Pia kuna Deep State nayo imeanza vizurii
Thank you...nimefanikiwa kuistall.
Mkuu search hapo terrarium TV..ipoo. Mi nilidownload hapo...The crossing umeishusha kwenye link gan?! Nimeshaitafta sana. Can u assist?!?