Season 6 sijaiangalia,ila series hii inaonesha maisha ya mwanamke jasusi ambaye anatoa hata mwili kusaka info,anakosa muda wa kulea familia.Pole sana, ile ya Berlin! Peter Quinn amekufa kwenye season ya 06.
S06
Uchaguzi umefanyika USA, amechaguliwa rais mwanamke Elizabeth Keane,Dar Adal na genge lake ndani ya CIA wanamchezesha kanabanzo huyu rais mteule kwa kutokukubaliana na sera zake, kitu ambacho baadae aliamua kuwafunga wote. Siku ya iliyopangwa kumuua huyu mama Carrier pamoja na Peter wanamtorosha kwenye gari kutoka hotel aliyokuwa anakaa maana alikuwa bado hajaapishwa, ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kumwona Peter kwenye homeland.
S05
Baada ya Saul na timu yake kumuua yule double agent wa Russia Allison Carr aliyekuwa CIA station chief Berlin,aliyekuwa anatoroshwa kwenye gari kutoka Berlin kwenda Moscow, baada ya kupewa siri na (arch bishop) the head of Russia intelligence in Berlin station.
S07
Russia wamelipiza kwa kutengeneza machafuko ndani ya USA kama yale ya Ukraine kwa kutumia madhaifu ya rais Elizabeth Keane, Saul amegundua hilo na kumtafuta arch bishop ambaye alikuwa nje ya kampuni kutokana na ule msala wa kuvujisha zile nyaraka za Allison Carr.
Pata nafasi uitafute, hasa upate copy safi yenye picture quality 720 au 1080 full hd, bar watakusahau kwa muda.
The Americans pia imerudi, zile shughuli za KGB vs FBI miaka hiyo.
Same to me,niliishia ya 5Daah inabidi niitafute niliishia S5
Homeland BABA LAO.Naomba mnatajie season za kijasusi(zinahusu masuala YA upelelezi)
Ziwe za kikorea au kizungu
The Crossing inazid kunoga,ukiangalia Episode 1 unaweza kuwa bored,ila Episode 3 mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nmecheki trailer nimeikubali, ngoja nikaipakue mkuu.
Naomba nielekezwe namna ya kupata subtitle,zote nazodownload hazina SUBTITLEMkuu mimi nimedownload ina lugha mbili Spanish/English ni swala tu la kuswitch lugha kama unatumia vlc unaenda kwenye audio tab then audio track kisha unachagua english
Ukisearch wakati wa kudownload tafuta yenye dual audio
Ni nzuri,inaanzia kunoga Episod 2 kwenda 3.Mkuu angalia The crossing
Thanx Mkuu nitaitafuta hiyo documentary, mtu mwenyewe Putin namuelewaThe Americans S06 hii ukitaka kuielewa vizuri kama una nafasi uanze kuangalia documentary za Putin V, S01 to 04
Ni tamu sanaThe Crossing inazid kunoga,ukiangalia Episode 1 unaweza kuwa bored,ila Episode 3 mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yule Carrie ni noma, yaani yeye anajali kazi yake tuu, kuliko hata maisha yake mwenyewe, yupo tayari kufanya lolote ili mradi kazi yake iende.Season 6 sijaiangalia,ila series hii inaonesha maisha ya mwanamke jasusi ambaye anatoa hata mwili kusaka info,anakosa muda wa kulea familia.
Hana mume[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hii yenye ep 3 ya mwaka huu??Yule Carrie ni noma, yaani yeye anajali kazi yake tuu, kuliko hata maisha yake mwenyewe, yupo tayari kufanya lolote ili mradi kazi yake iende.
Homeland imetembeatembeaNi hii yenye ep 3 ya mwaka huu??
Unaweza kutupia hapa link ya the crossing??!Kama uliipenda series ilikuwa inaitwa The event ikafutwa sasa kuna series inataka kufanana na hiyo inaitwa The crossing imeanza vizuri sana
No,,hukunielewa mwanzo,nilikua naulizoa hii The Crossing,asee nmepakua ep moja tu lakin mbele itakua moto,,namwona mdada mmoja alikua kwwnyw series moja siikukbuk jina vzr ila ilikua inatecnology sana ya kuwakamata wahalif,baadae waliikansel naiman,,APB kama sikosei..hii itakua tamu naimanHomeland imetembeatembea
KeshoJamani into the badlands season 3 bado tuu
Tumia terrerium tv kijana hutajutia wala haina mambo mengiMwenye link ya the crossing au web inapopatikana please naomba atupie hapa