Series (Special thread)

Nani kacheki hii series maana nasikia ilikuwa kali sana lakin ikapigwa ban COINTAINMENT
 
Nan kaona x file tafadhali nisijepoteza mb zng
Duh! X-File mbona ya kitambo sana!

Anyway, it's my favorite... ni UFO na Aliens stuff ambapo, a team of two, FBI Agent anayeamini katika mambo ya uwepo wa aliens alikuwa anafanya kazi na Doctor ambae habari za existence of aliens aliona ni stori tu zisizo na ukweli wowote!

Kulikuwa na matukio kadhaa yaliyokuwa yanatokea ambayo Agent Fox aliamini yalikuwa yanafanywa na aliens huku dokta akitakiwa kutumia utaalamu wake kuthibitisha shaka ya Agent Fox.

Anyway, siikumbuki vizuri kwa sababu ni ya kitambo sana lakini ni bonge la series.
 
Simtaki Rich dot com mfupiandunje yule. Wale wanatudi march 9 baba. Amerudi mzee baba the president, designated kesho hapo.
Haha nilishasahau we una homa na maandunje, basi ngoja nikupe Reed japo huyu jamaa simkubali kabisa yaani yupo serious kila saa mpaka anaboa. Alafu hawa nao ijumaa hii hapa ya 2 March tupo nao episode ya 13, sio tarehe 9 .
 
Hatari sana hii list
 
Haha nilishasahau we una homa na maandunje, basi ngoja nikupe Reed japo huyu jamaa simkubali kabisa yaani yupo serious kila saa mpaka anaboa. Alafu hawa nao ijumaa hii hapa ya 2 March tupo nao episode ya 13, sio tarehe 9 .
Ni kweli Bana. Nili mix madesa. Series zangu 2 jmos na jumapili the good fight. Can't wait to see kabishi kangu lucca
 
Hutak kulala ibiza, kunyw chai dubai, lunch onboard, dina vvegas, afu ukalale kwny private island?
wapiii wakati rich.com anafungiwa kwenye kichumba chake kile ambacho Patterson alimfata ili amsaidie kutoroka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…