Swali hili lingekuwa ni vizuri kuelekezwa kwa TV analysts all over the country ambao wanadai hawajawahi kuona kipindi ambacho kila wiki kinaongeza idadi ya audience wakati trend ni kupungua kwa audience. Empire si popular kwa watu weusi tu bali hata kwa wazungu kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu enzi za Cosby show. Jana CBS waliamua kupambanisha kipindi chao cha survivor na Empire nami nasubiri kwa hamu nione nani alikuwa mshindi kwenye ratings. Kuna article moja kuhusu umaarufu wa Empire niliisoma jana nikitulia nitaiweka hapa baadaye leo. Sitashangaa season 2 popularity ya Empire kuongezeka na hivyo kuanza kucharge 30 seconds ad $1 million. Empire is the new crack in the country.