1.Mc Guire
2.Deputy Director Campel
3.Preach
4.Amir
5.Jaz
6.Adam
7.Hannah
8.Noah
Naifatilia kila jumanne lazima niishushe.
Scenes nazozipenda sana ni ya 9&10
Mimi naitumiaga kudownload series kwa laptop yangu, nina utorrent tayari, kwaio naingia kwa site nasearch series ninayoitaka, nadownload file lake la torrent alafu nalifungua kwa utorrent inanishushia mzigo wote. Ninachoipendea hii site amna series nitakayoisearch nisiikute humu. Ina option ya kustream ila sijawahi ijaribu.
Andika hiyo kwenye browser,itakuletea site andika jina la movie au series kisha search,orodha itakuja click link hapo.
But lazima uwe na utorent sasa ndo utaweza ku download.
Binafs ndo huwa natumia hiyo kushusha mambo