Series (Special thread)

Hio leverage kilichoniboa ni yule i.t yani anafanya vitu ambavyo kwa hali halisi haviwezkani...boring
 
Kuna hizi series pia, pse zitazameni
  • Tin Star
  • Surviving Escobar
  • Ozark
  • Narcos
  • Better Call Saul
  • Marseille, ya Kifaransa, tafuta zenye Eng. Subs
 
Jamaa aliuliwa familia yake yote kilichofata mungu anajua humo, anakinukisha vibaya sana anafanya revenge.

Naweka msisitizo kinachofata baada ya kuuliwa familia yake ni Mungu anajua, itafte hiyo utarudi tuu hapa.

KEYWORD: MUNGU ANAJUA.
Nimeangalia episod moja mpk dakika 20 lakin nimeamua kusitisha ili niipakua yte,ha ha ha ha
 
Wakuu naona hii LAST SHIP ni hatari sana sio siri.
 
Wakuu naona hii LAST SHIP ni hatari sana sio siri.
Ha ha ha ha it's my favourite jamani. Mbaya zaidi mwakani wanamalizia season 5 nitaugua mimi. Kwanini wasiendelee kama supernatural janami imefika zaidi ya kumi na kitu huko.
Umechelewa kujua japo sio mbaya umeiona,,,namshukuru Maserati aliniambia hii
 
katika series nilizo zipenda sana
1.narcos
2.power kwasababu ya uhalisia mwingi hakuna uongo uongo tulio uzoea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…