Series (Special thread)

mzee nimeangalia hii episode ya kwanza naona hiyo miaka miwili iliyopita kila mtu ana makaburi yake
 
Hivi naweza kupata wapi Narcos season 3,torrent size kubwa episode moja almost 800mb

Nataka reasonable size na good quality (at least 400mb)
 
Hizi mpya huwa naona uvivu kusubiri mwaka mzima, so huwa nakomaa na series zilikuwa completed...
Mkuu 24 mbona iliisha kitambo? Labda hukunielewa nliposema nimeamua kuirudia upya na kwa sasa nimerudia nipo season 6
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…