Series (Special thread)

wakuu kuna anaye faham update yoyote inayohusiana na tyrant? Je season 4ipo njiani?
 
Kuna hii series mpya inaitwa TABOO mnaeza ijaribu labda mtavutiwa nayo ni nzuri kwa kifupi mathalani kwa mtu kama mimi ambae tunapenda series za waingereza na ile swagger ya English yao.

Imetoka complete season 1 with 8 episodes.
 
Hii Good Doctor inafaa niivae sasa naona inatrend Sana pia rating zake sio mbaya.
Tatizo siku na mpango wa kuanza season mpya mpaka STRANGER THINGS itapotoka tarehe 28 mwezi huu.
Daah stranger thing daaah nilikuwa naiwait mnoo ..nomaaa
 
Hiv hiz New series zilizotoqa hiv karibun ipi ni qali uqiachana na Good doctor?
 
MKUU queen of south season 3 lin?.. WestWorld inatoka lin Man..
 
Kuna hii series mpya inaitwa TABOO mnaeza ijaribu labda mtavutiwa nayo ni nzuri kwa kifupi mathalani kwa mtu kama mimi ambae tunapenda series za waingereza na ile swagger ya English yao.

Imetoka complete season 1 with 8 episodes.
TABOO ya qitambo qidogo afu sjaielewa hata.. nlicheq epi moja nqaqata moto ...ni qali sana mquu? ?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…