Series (Special thread)

Hivi kuna aliyeziona hizi?

Ray Donovan.
Manhunt:unabomber.
House of cards.
 
Baadhi ya Series zangu zimerud
Empire Season 4 Released
Designated Survival Season 2 Released.

Kuna hii naona Mpya inaitwa Seal Team sjajua itakuwaje ila naona ni nzur

Kumbe na huku unapitaga!!
 
Hicho kipengele kilifanya nikacheka kama chizi jamani, toby sio mzima.
 
Ha ha ha ha Karibu sana kipind unanilia timing embu fanya bas 50 ya lunch

Huna adabu, sasa hiyo ya kukupa naitoa wapi wakati ndio naubiri nikukope!! Nipe kwanza then nami nitakupa.
 

Huna adabu, sasa hiyo ya kukupa naitoa wapi wakati ndio naubiri nikukope!! Nipe kwanza then nami nitakupa.
Ha ha ha ha wewe c bado unanilia timing mie nmemaliza kabisa fastaa nikuache na timing zako
 
Kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi kwa lioziona tayari 'The last kingdom' na 'The tundors'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…