Hiyo jason Bourne star ni yule yule au mwingine1. The Last Ship
2. 24
3. The Good fight
4. Shots fired
5. The Americans
6. Jason Bourne
7. Prison Break
8. Lethal Weapon
Kwa uchache hizo ni kati ya series nzuri sana.
Hiyo jason Bourne star ni yule yule au mwingine
Halaf ni mwendelezo wake au ni kama ile ya zamaniYule yule
Inahusu Nini??Kama ujacheki Zoo fanya haraka sana ..maana unapitwa na mengi mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,iko ep 04Season 4 imeanza.
Halaf ni mwendelezo wake au ni kama ile ya zamani
angalia BANSHEE ya kimarekani
Daaaaah apoo umenenaa mzeemimi naona watu tunapishana,,,series tamu kwako haiwez kuwa kwa mwengine,,,,tuanze na mtu anayependa mfano series za action ni hizi,,,,,,,,,,comed,,,,,,,,thriller,,,,,,,,,,,,,,,romance action crime,,,,,,,za kizamani na game of thrones,,,,,,,,, investigation,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,..hapo tutaenda sawa,,,,,,,,,,,,,,
hatari sana hii mambo mkuugames of throne..........
mimi naona watu tunapishana,,,series tamu kwako haiwez kuwa kwa mwengine,,,,tuanze na mtu anayependa mfano series za action ni hizi,,,,,,,,,,comed,,,,,,,,thriller,,,,,,,,,,,,,,,romance action crime,,,,,,,za kizamani na game of thrones,,,,,,,,, investigation,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,..hapo tutaenda sawa,,,,,,,,,,,,,,
Nakuunga mkono asilimia 100%..Nimeona zote kasoro salvationCheck hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa