evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Quantico niliangalia season1 nikaona utoto na uhindi mwngi....Mara timeingizwa ktk akili mtu anawaza Mara aaahmadi ktk kozi nikawa nikitaka kuangalia naandaa na panadol maana kichwa lazima kiume...nikaona ni fujo sasa....ahhhh hamna kitu muleeeeHata haieleweki Yaani...kila Ndio tumekomaa nayo hivo hivo. Tunausbiri msimu wa 3 tuone watatoa boko tena
Mmhhhhh hiii nayo mimi hapana....
Itafute hiiiii maseKweli???
Mzeee ulaya vikongwe huwa wanawahi seat za mbele ktk movie theatre.....Hapa mnaangalia series usiku kucha, kazi mnafanya sangapi au wengi wenu bado madependant
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya madude mimi hapana...ni sawa na za kihindi au Bongo movie zetu..ukiangalia unaeza kuumwa ukalazwaKwa wale wapenzi wa Chinese dramas nipeni link ya VENGEANCE season 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiii Vp mrejesho miss maseKuna TV series Naona inaanza inaitwaje Mr. Mercedes Nadhani itakuwa nzuri I like the storyline.
Ooh thanks palHiii designated inaendelea October
Ok mom heav...ikiwa on air ntakualertOoh thanks pal
Thanks in advanceOk mom heav...ikiwa on air ntakualert
Jumapili... saa inategemea nchi uliopo.Naomba kuuliza, hivi game of thrones inaomeshwa siku gani na sangapi kwenye HBO. Nataka niiangalie kupitia kwenye television
Ipiii??ujue unani quote katika comment nilizoziandika muda kidogo nishasahauItafute hiiiii mase
Nadhani unaipenda,aisee siipendi balaaMmhhhhh hiii nayo mimi hapana....
Huwa nahisi ni Bongo movie yani....huwa siiielewiii hiii serie ilinishinda mapema
Mike ni hatari nigga,halafu yupo kwenye the last ship season ya 3Kuna yule mlinzi wa rais(secret service) anaitwa Mike nimependa sanaa alivyoact aseee jamaa kakaba sana...
Alimwambia rais alivyopigwa risas akiwa kalazwa aache kumpa taarifa mkewe hahaha..."sir u need to tie in yo cycle"
Ni serie Kali sana
Mie navutiaga pumzi zifike Hata ep3-5...Hiiii Vp mrejesho miss mase
Naomba kuuliza, hivi game of thrones inaomeshwa siku gani na sangapi kwenye HBO. Nataka niiangalie kupitia kwenye television
Jamaniiiiiii eeeeeh. The Last Ship is Back today
Ghkaaa!!!umesahau kuhusu sakata la mwisho kwa rais na mjengoni White house,kara alivyokuwa ana simamia show??Dah nilikua nimeshaisahau inabidi nijikumbushe episode mbili za season 3 kabla sijaendelea na mpya