Mazee designated survivor mnaionaje...kwangu mim ni one of the best series kwa jinsi ilivyochezwa kiakili sana ..mtiririko wa matukio, kusalitiana kisiasa na kiuongozi daah noma sanaa ...kama kuna series nyingine za aina hii ..naomben kujua mazee, series ni kali sanaa.
Ni komplicated story ..vizuri ucheki munyewe, ila inahusiana na scientist flan iv amegundua kuna asteroid zinaanguka kutoka angan so ana mpango wa kuzuia isitokee. .ila anapata upinzani kutoka serikali ya marekan kupitia kitengo chake cha maswala ya anga.
Series ni kali ina story tamu sana. Utakutana na wakali kama Darius Tanz, Frank lium, Grace na wengine wengii.