Series (Special thread)

Mpitie na huku mjue Top Tv Series sio mnapata shida kujua ipi nzuri au mbaya.
 
Wameisitisha na yenyewe,unajua ukiangalia time after time unaona kabsa ina endana flan na 12 monkey,,,ya akina mr traveller
 
Nipen jina la series kaliya kijasusi niangalie leo na kesho nina bando la kutosha na muda wa kutosha wa saa 72 so nipen jina tu na maudhui yake kdgo
 
Wameisitisha na yenyewe,unajua ukiangalia time after time unaona kabsa ina endana flan na 12 monkey,,,ya akina mr traveller
Time after time wamei cancel??
Lakini. Nilidhani hivo maana rate nilikuwa chini.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…