Series (Special thread)

seth lazima umuelewe tu kama unamfahamu. ijapokua ni muoga sana lakini anaonekana ni mtu hodari. halafu ni mshauri mzuri tu. Hata mimi imenibidi nimuige katika maongezi yangu
 
kwa usalama wa moyo wako usije kerekwa usithubutu ku pakua
 
Wadau hii queenn of south mbona siioni season 2 kwenye showbox?naomba mnisaidie namna ya kuipata,natumia simu kuangalia series.
 
Nakushauri, download eps 3 za mwanzo, ikikuboa achana nayo.
But si kitu ya kuikosa.
Series tamu sana
Asante sana,nilikua naidharau kwa kusikia the last ship aseeeeh hapana hii kboko asee,nilijua itakua mfano wa upuuz wa six lakin weeeee kwel nmekubali,akili za Chandler
 
Wadau hii queenn of south mbona siioni season 2 kwenye showbox?naomba mnisaidie namna ya kuipata,natumia simu kuangalia series.
Ipo mbona mi naiona??
Tumia Terrerium Tv.
 
Asante sana,nilikua naidharau kwa kusikia the last ship aseeeeh hapana hii kboko asee,nilijua itakua mfano wa upuuz wa six lakin weeeee kwel nmekubali,akili za Chandler
Umeelewa eeh??
Hiyo ni hatari, ushaimaliza mpaka season 3??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…