Series (Special thread)

Kiukwel mm sijaangaliaga last ship,naisikia sikia kwenu tu,nipen dondoo kabla sijamaliza mb zangu bure,ina mambo ya kispy,mahuckers wpo,ni ya kiintelegensia
Acha kabiaa.
Ni moto wa kuotea mbali. Nakushauri itazame, hutojuta xav bero
Wakionishauri designated survivor na The last ship aisee hamja nipotezea muda wala mb zangu.
Big up fellas
 
Kiukwel mm sijaangaliaga last ship,naisikia sikia kwenu tu,nipen dondoo kabla sijamaliza mb zangu bure,ina mambo ya kispy,mahuckers wpo,ni ya kiintelegensia
jitahidi cna asee uicheki ulikuwapi muda wote.cheki kutana na akili nyingi za captain chandler na dr bingwa SCOTT
 
Kuna mtu kaiona American Gods anijulishe kama ni nzuri au mbaya kabla sijaidownload.?
Natanguliza shukrani.
 
jitahidi cna asee uicheki ulikuwapi muda wote.cheki kutana na akili nyingi za captain chandler na dr bingwa SCOTT
Chandler, green, taylor na miller katoto ka mama. Master chief katika ubora wake
 
Kuna mtu kaiona American Gods anijulishe kama ni nzuri au mbaya kabla sijaidownload.?
Natanguliza shukrani.
Kuna watu wamesema ni nzuri, lakini mimi sijaipenda kwa kweli. Movie zenye uongo mwingi usio wa kufikirika siuhitaji kabisa...
Mimi sijaipenda na nimeishia episode 1 tu.
Lakini kuna balques huko anameza watu kwenye papuchi yake, take care
 
Season 3.
Season 1 eps 10
Season 2 eps 13 the same to season 3 as season 2
Msije isifia kama lile li series la kipuuz kama six au shooter?? Maana ni moja ya series mbov kabsa kuangalia
 
Msije isifia kama lile li series la kipuuz kama six au shooter?? Maana ni moja ya series mbov kabsa kuangalia
Nakushauri, download eps 3 za mwanzo, ikikuboa achana nayo.
But si kitu ya kuikosa.
Series tamu sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…