SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jun 27, 2017 #7,141 Mwenye kufaham series nzuri ambayo kisa chake ni cha mapenzi.
C compos Member Joined Feb 1, 2015 Posts 66 Reaction score 28 Jun 27, 2017 #7,142 Anayeangalia if loving you is wrong ...anijuze pls
B buhanda Member Joined Jul 4, 2016 Posts 77 Reaction score 30 Jun 27, 2017 #7,143 Ndg naomba kujuzwa jinsi ya kununua series(movies) kwa m pesa
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 27, 2017 #7,144 espy said: Nilipokosa cha kuangalia ikabidi niitazame tu. Click to expand... Duuuu!!! Like serious??
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 27, 2017 #7,145 espy said: Nilipokosa cha kuangalia ikabidi niitazame tu. Click to expand... Duuuu!!! Like serious??
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,110 Jun 27, 2017 #7,146 compos said: Anayeangalia if loving you is wrong ...anijuze pls Click to expand... Season 6 ndio imeishia hivyo.
compos said: Anayeangalia if loving you is wrong ...anijuze pls Click to expand... Season 6 ndio imeishia hivyo.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,110 Jun 27, 2017 #7,147 Maserati said: Duuuu!!! Like serious?? Click to expand... Yes my dear, na niliiangalia yote hadi the flash
Maserati said: Duuuu!!! Like serious?? Click to expand... Yes my dear, na niliiangalia yote hadi the flash
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,110 Jun 27, 2017 #7,148 Hans Pol said: Mwenye kufaham series nzuri ambayo kisa chake ni cha mapenzi. Click to expand... The arrangement umeangalia? Ndio imemalizika season one, pia kuna if loving you is wrong,the catch,
Hans Pol said: Mwenye kufaham series nzuri ambayo kisa chake ni cha mapenzi. Click to expand... The arrangement umeangalia? Ndio imemalizika season one, pia kuna if loving you is wrong,the catch,
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 27, 2017 #7,149 espy said: Yes my dear, na niliiangalia yote hadi the flash Click to expand... Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu
espy said: Yes my dear, na niliiangalia yote hadi the flash Click to expand... Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,110 Jun 28, 2017 #7,150 Maserati said: Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu Click to expand... Just for fun sometimes, na dogo ndio alinifanya niicheki maana sikuwa na cha kuangalia and he was watching it.
Maserati said: Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu Click to expand... Just for fun sometimes, na dogo ndio alinifanya niicheki maana sikuwa na cha kuangalia and he was watching it.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jun 28, 2017 #7,151 Maserati said: Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu Click to expand... Me too series yenye mambo ya kufikirika, sipotezi muda wangu kuziangalia.
Maserati said: Sijawahi itazama the flash na wala sitakuja kuitazama Mie movie zeny uongo mwingi vile aqkhuuu Click to expand... Me too series yenye mambo ya kufikirika, sipotezi muda wangu kuziangalia.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jun 28, 2017 #7,152 espy said: The arrangement umeangalia? Ndio imemalizika season one, pia kuna if loving you is wrong,the catch, Click to expand... Ngoja nianze na hiyo ya if loving you is wrong.
espy said: The arrangement umeangalia? Ndio imemalizika season one, pia kuna if loving you is wrong,the catch, Click to expand... Ngoja nianze na hiyo ya if loving you is wrong.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jun 28, 2017 #7,153 buhanda said: Ndg naomba kujuzwa jinsi ya kununua series(movies) kwa m pesa Click to expand... Series gani hiyo hadi uingie gharama mara mbili, uinunue kwa mpesa, uweke bando udawnload. Taja jina uelekezwe pa kuipata.
buhanda said: Ndg naomba kujuzwa jinsi ya kununua series(movies) kwa m pesa Click to expand... Series gani hiyo hadi uingie gharama mara mbili, uinunue kwa mpesa, uweke bando udawnload. Taja jina uelekezwe pa kuipata.
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 28, 2017 #7,154 espy said: Just for fun sometimes, na dogo ndio alinifanya niicheki maana sikuwa na cha kuangalia and he was watching it. Click to expand... Yaani mimi haitakuja kutokea kuitazama the flash
espy said: Just for fun sometimes, na dogo ndio alinifanya niicheki maana sikuwa na cha kuangalia and he was watching it. Click to expand... Yaani mimi haitakuja kutokea kuitazama the flash
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 28, 2017 #7,155 Hans Pol said: Me too series yenye mambo ya kufikirika, sipitezi muda wangu kuziangalia. Click to expand... Yaani sitaki hata kujisumbua uongo usio na kipimo mpaka shetani anaogopa.
Hans Pol said: Me too series yenye mambo ya kufikirika, sipitezi muda wangu kuziangalia. Click to expand... Yaani sitaki hata kujisumbua uongo usio na kipimo mpaka shetani anaogopa.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Jun 28, 2017 #7,156 Maserati said: Yaani sitaki hata kujisumbua uongo usio na kipimo mpaka shetani anaogopa. Click to expand...
Maserati said: Yaani sitaki hata kujisumbua uongo usio na kipimo mpaka shetani anaogopa. Click to expand...
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,568 Reaction score 29,662 Jun 28, 2017 #7,157 Hodi humu ndani
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 28, 2017 #7,158 Perfectz said: Hodi humu ndani Click to expand... Karibu
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,568 Reaction score 29,662 Jun 28, 2017 #7,159 Maserati said: Karibu Click to expand... Asante mbaba kwema humu?
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 28, 2017 #7,160 Perfectz said: Asante mbaba kwema humu? Click to expand... Ni Mdada.... Kwema sana.