Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 743
- 835
Nimepata kwenye TVshows4Mobile,thanks manMkuu labda simu yako tu, mbona tupo wengi tu hii series tunaipakuwa o2tvseries na iko complete
Hata kwa tvserieswap Inapatikana pia, Quality nzuri tu..Nimepata kwenye TVshows4Mobile,thanks man
tvserieswap.comHata kwa tvserieswap Inapatikana pia, Quality nzuri tu..
Ht km unaichekia kwa Laptop iko poa tu
Mimi Hapa ninaitumia...and ukichek katika hii nyuzi nilishawekaga Apk link yake humuWapendwa! Kuna aliyajaribu kutumia Showbox?
Ni external App nzuri kwa Androids .
Yaani tunakomaa nao tu ha ha ha haAm back darling. Maana humu wa kike ni mimi na wewe tu ndio wabishi, na taste zetu za movie zinaendana.
Shukran....Nilifikiri haiko popular. ...Mimi Hapa ninaitumia...and ukichek katika hii nyuzi nilishawekaga Apk link yake humu
OK ok,tunaifahamu hii. Na kuna nyingine terarrium tvShukran....Nilifikiri haiko popular. ...
Mazoea yana taabu, mie nishaizoea show box zaidi. Terarrium naona inazingua, update kila siku khaaah!!!OK ok,tunaifahamu hii. Na kuna nyingine terarrium tv
Mi nimeifuta leo, ina crush down kila saa. Sitazami tena series ni mwendo wa kucrush down. Nimeifuta leo.Mazoea yana taabu, mie nishaizoea show box zaidi. Terarrium naona inazingua, update kila siku khaaah!!!
Yap zipo vizuri ulichelewa wapi kuzianza manake kama mm nasubiria muendelezo wakeMi nimeifuta leo, ina crush down kila saa. Sitazami tena series ni mwendo wa kucrush down. Nimeifuta leo.
Nabaki na showbox yangu, ninataka kuanza series moya either designated survivor au last ship leo.. Ninaambiwa ni nzuri sana
Yes, ipo episode ya pili. Iko hot balaaSeason 2 imetoka
Mbayaaaaa sikushauri....Wakuu kuna mtu yeyote anayeifatilia American Gods?! Ndo nataka nianze kuiangalia.. Sijaju kama inaworth my time!
Ha ha ha ha. Nilikuwa busy na vitu vyangu. Blindspot, scorpiona na zingine.Yap zipo vizuri ulichelewa wapi kuzianza manake kama mm nasubiria muendelezo wake
Basi hizo ulizofatilia hazijafikia utamu wa Designated survival na Last ship.Ha ha ha ha. Nilikuwa busy na vitu vyangu. Blindspot, scorpiona na zingine.
we angalia lakini usije chelewa kuamka bure.Iam watching Designated survivor... hatare.. I can't sleep mpaka iishe
Basi hizo ulizofatilia hazijafikia utamu wa Designated survival na Last ship.
Ha ha h h ha.. Hujani convince bado. Hivo ninavocheck ni habari nyingine kabisa aiseee.we angalia lakini usije chelewa kuamka bure.