Series (Special thread)

Wakuu mnao fatilia homland je season gani Nicholas brody amerejea au wamemtoa jumla maana niko s4 e3 sion dalili naomba mnambie kama wametoa naishia hapa hapa s4 yule jamaa ndo ananifanya niendelee kuangalia
 
Sana yule jamaa yule sema tu imeisha ile lakin nilimpenda jinsi anavyoongea aina flan hiv ya maneno duu,,,nampenda pia Sucri aaah naona wanamchelewesha huku season 5
Nimewatch many series the catch 24 legacy black list redemption prison underground last ship lost an nyinginezo nimezipenda ebu mkuu nope series mbili tatu ambzo zina fanan na hizo apo juu nidownload mida hiii aseee
 
Blindspot
Taken
 
Sucre hahaha mi napenda sana series zenye wamexico na Russian
 
Nimewatch many series the catch 24 legacy black list redemption prison underground last ship lost an nyinginezo nimezipenda ebu mkuu nope series mbili tatu ambzo zina fanan na hizo apo juu nidownload mida hiii aseee
Queen of the south
Shooter
 
Mahone habari nyingine... hata Michael alikuwa anamuohofia sana Mahone!! Na kwa namna fulani nakubaliana na wewe kwamba Mahone ni genius kuliko Michael kwa sababu, Michael ni mbaya kwenye planning lakini Mahone anaingia kwenye akili ya Master Planner na kugundua plans zake! Suala la Michael kwenda nyumbani kwa Mahone na kutumia mauaji ya Oscar Shales kum-blackmail Mahone yanathibitisha alishaona hamna namna nyingine anaweza kumkwepa zaidi ya vitisho!!
 
Nimewatch many series the catch 24 legacy black list redemption prison underground last ship lost an nyinginezo nimezipenda ebu mkuu nope series mbili tatu ambzo zina fanan na hizo apo juu nidownload mida hiii aseee
The Wire umeshaicheki?! Ya kitambo sana lakini ni moja ya series bora kabisa miongoni mwa crime drama. Ni type ya Power lakini kwangu mimi, The Wire ni bigger than Power...
 
Wakuu mnao fatilia homland je season gani Nicholas brody amerejea au wamemtoa jumla maana niko s4 e3 sion dalili naomba mnambie kama wametoa naishia hapa hapa s4 yule jamaa ndo ananifanya niendelee kuangalia
Sidhani kama atarejea... sijui watafanya twisting ya aina gani hadi ikubalike!! Twisting ya Michael Scofield ni rahisi kukubalika kuliko twisting ya Brody!!!

Kama haikuwa ni sababu za kikazi; nadhani hata wenyewe wanaona walibug sana kumuua Brody mapema kiasi kile!
 
Aisee wamemwondoa mapema sana sasa basi na stop ngoja niitafute blacklist sasa...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…