watu weng wanaangalia wahusika wa movie pasipo kujali watu waliokua nyuma ya pazia mkuu umetisha upo kama bro wangu hata actor anawezaa asimjue akamjua directorSaul nilimkubali tangu akiwa Breaking Bad... jamaa anajua!! Na hata ukimwangalia mwandaaji wa hizi shows mbili; Vince Gilligan... huwa hakosei!!!
Ni kweli, majority wanaangalia waigizaji kumbe Mwigizaji anajengwa na story pamoja na director!! Kwa mfano, watu tunasifia akili za Michael Scofield kumbe kimsingi zile sio akili za Scofield kama mwigizaji bali akili za mwandishi!!!watu weng wanaangalia wahusika wa movie pasipo kujali watu waliokua nyuma ya pazia mkuu umetisha upo kama bro wangu hata actor anawezaa asimjue akamjua director
Yaaa nakubali sana waandishi wa miswada ya filam wana akili sana, mchezaji anaambiwa afanye hiki na hiki aongee hili na lile lakin vyote vipo chini ya mtunzi wa hadithi husika,,nadhan kwenye prison break walikutana magwiji wawili michael na mahone waliozitendea haki kabsa akili za hawa waandishiNi kweli, majority wanaangalia waigizaji kumbe Mwigizaji anajengwa na story pamoja na director!! Kwa mfano, watu tunasifia akili za Michael Scofield kumbe kimsingi zile sio akili za Scofield kama mwigizaji bali akili za mwandishi!!!
Hata mie mkuu.Natanguliza shukrani zanguikianza unitag
Exactly... ubora wa mwigizaji unakuja kwenye ku-transform maandishi na kuyajengea taswira ya uhalisia!! Kwa mfano, kwavile character ya Michael ni genius fulani basi hata ukiangalia facial expressions zake unaona u-genius ndani yake wakati anatafuta solutions!! Au Mahone, una-feel kabisa jinsi anavyotumia akili ku-solve puzzles na anapokuwa "high" unashawishika kabisa kuamini kwamba jamaa yupo high for real!! Au pale mwigizajiYaaa nakubali sana waandishi wa miswada ya filam wana akili sana, mchezaji anaambiwa afanye hiki na hiki aongee hili na lile lakin vyote vipo chini ya mtunzi wa hadithi husika,,nadhan kwenye prison break walikutana magwiji wawili michael na mahone waliozitendea haki kabsa akili za hawa waandishi
Story na director inaweza kuwa nzuri lakini actor akashindwa kuperfom to expectation so wote ni muhimu wote kufanya kinachostahili all in all Mimi Saul nilimchukulia kawaida tangu kwenye breaking badNi kweli, majority wanaangalia waigizaji kumbe Mwigizaji anajengwa na story pamoja na director!! Kwa mfano, watu tunasifia akili za Michael Scofield kumbe kimsingi zile sio akili za Scofield kama mwigizaji bali akili za mwandishi!!!
Sijasema Actor sio muhimu bali msingi wa movie ni story/writer na director!!Story na director inaweza kuwa nzuri lakini actor akashindwa kuperfom to expectation so wote ni muhimu wote kufanya kinachostahili all in all Mimi Saul nilimchukulia kawaida tangu kwenye breaking bad
Kwa jinsi ilivyo tutakuja kujua kwa nn michael yupo jela na aliingiaje kule nadhan ndio kisa haswa cha season 5Ukwel n kwamba prison break ni motoo sasa hivi sijui this idea ya kuchagua location ya waarab wameitolea wapi they are far from better I think they are the best
Nakuelewa sana mkuuSijakuambia Actor sio muhimu bali msingi wa movie ni story/writer na director!!
Ukishakuwa na stori iliyoenda shule na director mzuri; unaweza kwenda pale Kariakoo na kufanya casting randomly na kupata crew mzima hamna hata mmoja aliyewahi kuwa mbele ya kamera hata kwa dakika moja!! Lakini pamoja na yote hayo, bado inaweza kutoka bonge la movie kwa sababu kuna director mzuri na story mzuri!!!
Huwezi kutafuta story/mwandishi na director randomly!!
Huyo Muigizaji atakayeshindwa ku-perform to expectation, hiyo under performance itatokana na mapungufu ya director kwa sababu director yupo pale, pamoja na mambo mengine, pia kuhakikisha maandishi (script) yanakuwa transformed into motion picture physically and emotionally and make it like real!
Kama maandishi yanasema Actor anatakiwa kukimbia kwa namna ya kuikimbia hatari basi Director anatakiwa kuhakikisha Actor anakimbia huku, physically and emotionally akionesha kwamba ni kweli anaikimbia hatari!! Hii ni kwa sababu, kwa mfano, anayeikimbia hatari na anayekimbia kwa mazoezi; hawa wanakuwa tofauti, physically and emotionally! Kwahiyo, nafasi ya muigizaji ni kuonesha hizo physical and emotional characteristics ili iwe kama kweli na pale penye mapungufu; director ndie anatakiwa kunyoosha hayo mapungufu na ndio maana, kwa wenzeetu waliokuwa serious, unaweza kukuta scene ya dakika moja inakuwa shot kwa masaa kadhaa
REMEMBER: Kabla acting crew haijaingia location lazima wafanye rehearsals mbele ya director wakianzia na table read...!!! Sasa kama Acting Crew imefanya rehearsals round kadhaa na bado Actor anashindwa ku-deliver; hilo sio kosa la actor tena bali director. Isitoshe, ni huyo huyo director ndie ame-approve hiyo shot yenye under performance...
Ila naona kama jamaa age inaanza kuwaacha kama Lincoln!Kwa jinsi ilivyo tutakuja kujua kwa nn michael yupo jela na aliingiaje kule nadhan ndio kisa haswa cha season 5