Series (Special thread)

Mara ya kwanza kuangalia 24hrs niliumwa kabisa nakumbuka nilikuwa likizo....nilifululiza bila kulala usiku.Daaah 24 ndio baba wa wooooteee
 
Ngosha acha tamaa, hizo series zenyewe ume download torrents bure tena kwa kutumia WiFi ya chuo bureee..

Kama mtu anataka hizo series anicheki nitampa bure na bonus
 
. .. Aisee mimi n mpenzi sana wa hizi movies za mapanga na mafarasi.. nmeangalia Game of throne.. Spartacus.. Viking... NAOMBA Mwenye kujua series au movies nyingine za disain hii anisaidie
 
Bro una maanisha mapanga na farasi pekee au kuna vitu vingine ulivyopendezwa nazo? according to your reference
 
Offcoz upo real man yawezekana ni kutangaza ushoga kutokana na ustaa sake
Mkuuu hilo ata mim nlikuwa nakataa but nmegoogle nanimehakikishaa mwenyewe kwamba jamaaa ni shogaa tna anajitangaza mwenyewe naamerivili hilo alipofikia miaka41 ila jama kwel so ridhkii axee
 
Huyo shogaa kitamboo japo nlikuw siamin lakin nmefatiliaa nmejua kuwa yey shoga tena kwa alifanya press conference akasema ni wakitambo xanaa,,,dah
 
Huyo shogaa kitamboo japo nlikuw siamin lakin nmefatiliaa nmejua kuwa yey shoga tena kwa alifanya press conference akasema ni wakitambo xanaa,,,dah
 
Saul nilimkubali tangu akiwa Breaking Bad... jamaa anajua!! Na hata ukimwangalia mwandaaji wa hizi shows mbili; Vince Gilligan... huwa hakosei!!!
Naikubali sana breaking bad but sijawahi hata shawishika kuitizama better call saul
 
Cinemax wame confirm kwamba series ya Strike Back ipo katika production safari hii inakuja na casts wapya na inategemewa kuanza kuoneshwa mwishoni mwa mwaka huu 2017.

Binafsi nimekuwa disappointed kutowaona tena Damian Scott na Michael Stonebridge. Lakini natumaini hawa casts wapya wataitendea haki kama kina Scott walivyom replace John Porter kutoka season 1. Can't wait!
 
Naikubali sana breaking bad but sijawahi hata shawishika kuitizama better call saul
Mi nilishawishika kuiangalia kwa sababu kwenye series/movie mara nyingi huwa naangalia sana ni nani creators wa content husika na huwa siangalii ni nani waigizaji! Sa' kwa mtu kama Vince Gilligan tayari nilishazikubali kazi zake za Breaking Bad na X-Files; kwahiyo nilijua hata kwenye Better Call Saul asingeniangusha!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…