Series (Special thread)

anaejua series zinazofanana na the 100,,,strike back,,,banshee,,,vikings,,,american odyssey,,,,arrow,,,,,
Anitajie tafafhali
 
anaejua series zinazofanana na the 100,,,strike back,,,banshee,,,vikings,,,american odyssey,,,,arrow,,,,,
Anitajie tafafhali
Game of thrones,the flash inaweza kuendena na arrow mission za Ku rescue vile.may be
 
wakuu nimeangalia series kama the last ship na prison break nimependa sana jinsi akili zilivyotumika mule je ningependa kujua ni series gan nyingine ina mission za kutumia akili kama izo
 
Naombeni kufahamishwa kuna movie moja ya Science Fiction ilikuwa inaonyesha ITV enzi hizo miaka ya 1995 kurudi nyuma, Ilikuwa kuna magari mawili ...yanafanana ila moja limezidi kidogo.... nachokumbuka ofisi au station zao zilikuwa undeground na walijaribu kuokoa familia moja ilipatwa na matatizo..... nahitaji jina ya Movie. katiak hiyo movie kuna jamaa alikuwa na sura mbaya au giant.
 
Una bishana na watu walio ijua juzi juzi jf ndio madhara yake hayo, taratibu utaendana na hali ya hewa ya humu ukijifanya mjuaji wapo wanao jua zaidi yako na wamekaa kimya.
Mwehu mmoja anakuja kutuchafulia hali ya hewa humu.
Kama unajua dhima ya hizo series ninini basi usinge angalia hata hizo ambazo hazina ushoga ila kila baada ya sin moja inayofuata ni sin ya porn hapo napo unajifunza nini?
#SIUNGI_MKONO_USHOGA.
 
aloangalia the following au thev libralians,,,,anambie kma ni za action au lah,,,,,nataka kupakua,,,,,shukranii
 
Yule star wa 24 legacy-anafanya naichukia hii series sijui kwa nini?? Najikuta simpendi!!
Hapana; lazima ipo sababu kwahiyo tuambie!! Kwa mfano, sometimes, ingawaje najua sio kosa lake bali ni kosa la watengenazaji wa filamu kuifanya character yake huwa hivyo, huwa namchukia T-Bag! Nimekupa T-Bag kwa sababu ni maarufu kwa wengi na hivyo I hope unafahamu kwanini sometimes huwa namchukia!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…