Series (Special thread)

Kiukwel sijaona series mbaya na iliyosifiwa kama shooter na six daaah zilinikera sna aisee
 
Alielipia hizo gharama ni michael. "Outis" yaani "nobody" kama ilivotafsiriwa.
 
Hey guys Napend sana kudownload series but majina na kujua series kali ndo shida tupia kali unayoijua kutisha na action mapenz tupa kule
 
series ziko nyingi ungecategorize unapenda ze nchi gani kama ni za kikorea,kimarekani,kifiripino au kihindi
 
Wakuu wakati nasubiria 24 Legacy na Prison break new episodes, kati ya,
The Americans
Quntaco na
Lethal weapons niangalie ipi yenye actions na yenye kutumia akili sana?
 
Naogopa kuianza Agent X japo cmz ipo na story nzuri ila ilikuwa canceled
 
The walking dead
Game of thrones
Chuck (ya kitambo kidogo ila nzur)
strike back
Tomorrow People
Event
How to get away with murder
 
Wakuu wakati nasubiria 24 Legacy na Prison break new episodes, kati ya,
The Americans
Quntaco na
Lethal weapons niangalie ipi yenye actions na yenye kutumia akili sana?
Lethal weapon nakushauri.. quantico achana nayo na nahis itakuwa cancelled. The americans angalia s1,hadi s04. Isubirie s05 ijae ijae kwanza maana iko slow katika build up sasa hivi.
 
Niliamja makusud kuidownloud prison break ytee seasin one mpka four,,ili niziunganishe pmoja,,nizid kuifaid...
 
Lethal weapon nakushauri.. quantico achana nayo na nahis itakuwa cancelled. The americans angalia s1,hadi s04. Isubirie s05 ijae ijae kwanza maana iko slow katika build up sasa hivi.
Asante kwa ushauri. Ngoja nitaicheki, plus Designated Survivor
 
Niliamja makusud kuidownloud prison break ytee seasin one mpka four,,ili niziunganishe pmoja,,nizid kuifaid...
Ila s5 haina muunganiko wa moja kwa moja na zile za mwanzo mkuu labda kwa baadae halafu wahusika wengi wamezeeka, hata ukianzia hiyo hiyo s5 itakupa mwanga tu nini kinaendelea,
 
Huku ndio kunaitwa kuangalia series kwa jicho la tatu...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…