Jaman blindspot imeishia season 2 au inaendelea maana naangalia imefika season 2 episod 11 kuna anaefaham km inaendelea zaid maana utam ndio ulikua unakolea mwsho mwsho
Ila utorrent kwangu naona kama inazinguaga,,,nzur na rahis kwa simu naona terrarium TV hakika ni nzr na nyepes haiitaji mzunguko wala nn,fasta tu na unachagua ukubwa unaoutaka,,kuanzia GB 1 mpka MB 68 ni wewe tu na INA quality ya kutosha
Dah,zote zinanoga ila mkipata nafasi embu jarbu kuchek ya kuitwa Power ipo mpk season 2 hutojutia mda wako kwn no hustling ile ya kikwel ndpo utapopata kujua nadhari y utakatishaji mkwanja kW mifano.......