Teh teh..Kuna wanaume wavumilivu aisee..Hawa jamaa hata season hii wanaweza kutoka kappaHahaaaaaaa!! Umenifanya nicheke, eti ametuzungusha sana, kila akitaka kugegedwa lazima kikwazo kizuke, eti hata sasa wakati ameolewa bado tu kikwazo kimekuja, khaaaaah!!
Labda wanalinda title ya movie.Teh teh..Kuna wanaume wavumilivu aisee..Hawa jamaa hata season hii wanaweza kutoka kappa
Yeah..Vijana wataendelea kuchezea mizungusho tuLabda wanalinda title ya movie.
Hata Mimi najiuliza maana mpaka sasa bado haijatoka na PASIPHAE alikufa na amerudi tena kuwa mzima.Tuisubiri episode ya 3.Atlantis ni bonge la season.wakuu nawauliza, hivi series ya atlantis season 3 ndo haitoki tena?
CanceledHata Mimi najiuliza maana mpaka sasa bado haijatoka na PASIPHAE alikufa na amerudi tena kuwa mzima.Tuisubiri episode ya 3.Atlantis ni bonge la season.
Sijaicheki aisee...Ntaitafutia muda wikend...Wanasema tunda litaliwa kwenye season 6..So kuwa na subira tuKaboom umeangalia??? Yaani naisubiri episode3 kwa hamuuuu maana ndio wanakwenda kulila tunda, sijui watafanikiwa au kikwazo gani kitatokea tena!!
Tooooba!! Alafu ndio kwanzaaaa season3Sijaicheki aisee...Ntaitafutia muda wikend...Wanasema tunda litaliwa kwenye season 6..So kuwa na subira tu
season 1 imeisha... bado haijatoka nyengneImefika episodes ngapi... manake nasubiri ziongezeke ongezeke kidogo!! Haya mambo unaangalia leo halafu nasubiri wiki mzima naonaga maumivu kusubiri!!
Season 1 nimeshaitungua... Season II ishatoka kitambo na sasa wapo episode ya 7; sema nasubiri wamalizie episodes 4 zilizobaki!season 1 imeisha... bado haijatoka nyengne
Mnaongelea movie gani?Season 1 nimeshaitungua... Season II ishatoka kitambo na sasa wapo episode ya 7; sema nasubiri wamalizie episodes 4 zilizobaki!
Teh teh...Mi mwenyewe natamani nione bikra wetu akigegedwaTooooba!! Alafu ndio kwanzaaaa season3
Khaaaah!! Huu mzunguko unaweza kughairi kugegedwa tenaaaa!! Yaani episode2 imenichekesha ilipoishia.Teh teh...Mi mwenyewe natamani nione bikra wetu akigegedwa
Series... Blindspot! Si unajua huwa sipendi vitu nusu nusu! This time next months nitakuwa tayari nai-enjoy!Mnaongelea movie gani?
Mbona wanitamanisha sasaKhaaaah!! Huu mzunguko unaweza kughairi kugegedwa tenaaaa!! Yaani episode2 imenichekesha ilipoishia.
Yaani ni tamuu!Mbona wanitamanisha sasa