Blindspot ni full season series yenye episodes 22... sasa huwa wanaanza na 11 episodes halafu wanachukua winter break at the end of december (21/22) baada ya hapo wanarudi tena at the end of march (spring) kumalizia 11 zilizobaki!!! Sasa kama 3 tayari zimeoneshwa, ina maana bado 8 kabla hawajaenda break.