Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Duh! huyu sancho alitaka kummaliza tbag hakujua kama bagwel ni chuma cha pua akafanya yake na kutimuaKama kawa my first and top TV show prison break sasa maandalizi Ya season 5 yameisha stay tuned bonge la season soon will be released
Jamani nimeona kionjo chake but mpaka sasa sijajua ratiba za kuwa hewani......Hii haijapataga mpinzani
Haya ni baazi ya matukio ktk prison break katika picha.
View attachment 400982View attachment 400984View attachment 400985View attachment 400986View attachment 400987View attachment 400989View attachment 400990View attachment 400992View attachment 400993View attachment 400995View attachment 400997View attachment 401000View attachment 401002View attachment 401004View attachment 401005View attachment 401006
Nimeitizama ep1 tu daah imeanza kwa biti kali sana...hope hawatafanya makosa....ep2 ishatoka kweli?!Keifer mtata sana I will do it on my way " general atatosha tu kwa jamaa kawa rais kwa Bahati mbaya harafu anatawala kwa makusudi
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Kumbe season3 ndio imeisha hivyooo!!Sijawahi ona series inaisha hot Kama ilivoisha Power season 3.
What an end? Can't wait for season 4.
Nimeitizama ep1 tu daah imeanza kwa biti kali sana...hope hawatafanya makosa....ep2 ishatoka kweli?!
Yeah. Ghost kakamatwaKumbe season3 ndio imeisha hivyooo!!
Bora akamatwe tu maana mie now simpendiiiii.Yeah. Ghost kakamatwa
KwaniniBora akamatwe tu maana mie now simpendiiiii.
Yeah na wanajua kimeorignate nairobi kenya.. kila series ya mambele.. wakitaja east africa .watatongelea kenya tu.. tanzania, no way..
Aisee ni kweli, hili nimeliona kwenye movie nyingi tu.Yeah na wanajua kimeorignate nairobi kenya.. kila series ya mambele.. wakitaja east africa .watatongelea kenya tu.. tanzania, no way..
Ananikera tu.Kwanini
Hio series wakitaka iboe basi asiwepo ghostAnanikera tu.
Mie tayari now ishaniboa maana tayari namchukia ghost, though ndio main character.Hio series wakitaka iboe basi asiwepo ghost
Designated survivor si mchezo hii kitu, mzee mzima jack baur (Kiefer Sutherland) ndo presidaa wa USAView attachment 407282
Naisubiri hapoooo..in 3days
We utakua na lako jambo wewe[emoji1]Mie tayari now ishaniboa maana tayari namchukia ghost, though ndio main character.
Ananikera yaani acha tu, natamani wamkamate wamfunge kabisa.We utakua na lako jambo wewe[emoji1]
Au unamuonea wivu Tasha na Angela Valdez[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ananikera yaani acha tu, natamani wamkamate wamfunge kabisa.