Series (Special thread)

Tafuta Series ya "BOURNE IDENTITY" ni ya Kizungu lakini ni nzuri sana. Ni spy movie na haina mambo ya James Bond.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa series za 24 Hrs
Akina Jack na Tony

Hivi mwisho ni series ya 9?
Coz nilinunua hizi DVD but nilipata hadi ya 10

Leo nazijaribu
Nikakuta kuwa 9 ndiyo imewekwa kuwa namba 10

Tafadhali mwenye kujua kuhusu hii series ya 24 hrs
Ila pia
Hii ya 9 imeandikwa
Live another day
 
wapendwa kuna series moja ya kikorea inaitwa Gumiho nimeicheki hadi episode ya 11 je naweza kuipataje?
 
Nashukuru mkuu ngoja nizifuatilie
 
Ivi blindspot inaendelea ln wajameni..
Na iliishia epsod ya ngp ss1????
 
tafuta na hii into the badlands
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…