sijapenda story yake.. tafuta "the night of " imetoka jana.. jamaa kaamka kakuta demu alielala nae kachomwa chomwa visu kama mia mwilini.. japokuwa kuna sehemu inalag...iko promising
No sio Korean a ni series inayohusu a women mmexico alikuwa poor akawa katika mahusiano na drug dealer her boyfriend akauwa so in taking revenge akaamua kujikita kwenye drug business pia aka end up kuwa drug dealer mkubwa