Series (Special thread)

,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo
ushawai kuona seriez inaitwa KYRE XY basi kuna jamaa anaitwa MATTY DALLAS nilipoambiwa shoga sikuamini nikasema anasingiziwa mpk siku alipotangaza ameoolewa nikachoka kutokana jinsi alivyoigiza katika KYLE XY aisee huwezi amini kabisa mashoga wa mberehasa waigizaji wanakuwa strong na Smart fully sixpack

na hata role zao wanazocheza nI zile za CLEVERPEOPLE na ni za kigentleman hasa
 
Teh inaonesha hakufa pale ile short ilimzima tu akajikuta back on prison again aiseee naham na t bag sana ila blad barick asingekufa ingekuwa hatareee jaman ile series imesukwa sana hii inamember wapya wachache hot saaana
Na lile kaburi alifukiwa nani?
 
Wakuu naombeni link ya empire series,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…