Series (Special thread)

Ramsey anaakiri sana usishangae ikawa ngumu kumtoa winter fell nataka nione Brandon stark atafanya nini na ability zake!

kweli Ramsey sio mtu wa kumuendea kichwa kichwa ndio maana hata Stannis Baratheone alichapwa kutokana na ubishi wake wakutofata ushauri coz Devos alimwambia winterfell kuna more than 5,000 solders wakati yeye ana 2,000 solders so akupaswa kwenda

but kupigwa lazima apigwe tu hapo bado sijawaweka kulee Vale kwenye moon door ambapo Littlefinger ameenda kumshawishi yule dogo na amekubali
 
Kupenda movies ni moja ya starehe nzuri sana. Unapata burudani na maarifa kwa mkupuo. Nakupongeza sana. Mie pia napenda sana movies. Kila siku lazima nicheki kidogo nikifika home.
 
naomba kazi mkuu..#nikoSerious
 
Kama kawa my first and top TV show prison break sasa maandalizi Ya season 5 yameisha stay tuned bonge la season soon will be released

Jamani nimeona kionjo chake but mpaka sasa sijajua ratiba za kuwa hewani......Hii haijapataga mpinzani
Haya ni baazi ya matukio ktk prison break katika picha.
 
,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo
Judging the Book by its cover..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…