Maana Ser Davos alipokuwa anamuomba The red woman amfufue Lord Commander akamjibu the former Lord Commander hapa kidogo nimepata ukakasi na kujua Jon Snow hata akifufuka hawezi kuwa yule yule lazima hatakuwa white walker ambaye anaweza kuleta muungano wa westeros na mawhite walker kama alivyofanya kwa Night watcher of Castle black na wilding (king beyond the wall) ambao walikuwa maadui for thousands years