wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 297
Yeah hata mm naikubali ni sci-fi halafu teenager kibaothe 100 sio ya kijasusi
habari yako dada.I missed youBlack list ni nzuri zaid
Banshee sijaanza kuitazama ila naona nikidownload kwa mtorrrents siipat clear hebu nisaidie
The 100 kwangu ndo bora zaid
the 100 sio ya kijasusi
ipo vizuri sana tena s03 ndo hatariiiYeah hata mm naikubali ni sci-fi halafu teenager kibao
The 100 ni bestipo vizuri sana tena s03 ndo hatariii
Game of Thrones Season 6 ndani ya nyumba!
Game of thrones ni habari nyingine kabisa no one is safe!Habari wanajamvi hili.
Ni muda mrefu sana sijatia maguu kwenye uzi huu na leo nimekuja na habari nzuri kwa wale wapenzi GAME OF THRONES (GoT) Leo ndio itaanza kurusha season 6 episode ya kwanza inayoitwa "the red woman" kwenye kituo cha HBO
Nasubiri kwa hamu sana kujua kilichomsibu Jon Snow baada ya kuuwawa
To be honest naona haijafikia kiwango nilichoifikiria mwanzoniZile flashbacks za kwenye Quantico kama ww ni mpenda stories wala haiwezi kukuboa. Tatizo la hii series iko soft sana. Haiwezekani New York city inakua under attack lkn watu wa usalama wako soft. Otherwise sio mbaya kuangalia, ina conversations nzuri.
Of course, they have a long way to impress the experienced viewers.To be honest naona haijafikia kiwango nilichoifikiria mwanzoni
Nachelea kusema sasa wanaboa wameifanya kuwa complex kama lostOf course, they have a long way to impress the experienced viewers.
spoilerRed women ana siri nzito naanza kuhisi snow atafufuliwa
Game of thrones ni habari nyingine kabisa no one is safe!
Wazee wa
Carrie mathson
Saul berthon
Peter qinn
Haqqinn
Gomaa linarudi lini hewaniii?
Movie ya Body of Lies(2008)Habari wadau,
Wale wapenzi wa series maarufu ebu tupeane maujanja.Nataka kujua series hasa za Hollywood zinazo deal na mambo ya Intelligencia na Middle East
Mfano Tyrant, Homeland,Strike back,ebu nisaidien nyingine zilizopo
au kama kuna movies kali za hivyo kamaYa Adolph Hitler
Majina ya hizo series tafadhari.
Sijaiona hyoMovie ya Body of Lies(2008)
Yeah..tokea lile tukio la Red Wedding pale Rob stark alipouwawa ndio niliona there is no one safe in GoT
The red woman ninavyohisi lazima atamfufua Jon Snow ili na yeye hawe safe hapo castle black
Movie ya Body of Lies(2008)