Series (Special thread)

Korean drama: DEAD END JOB

Hii ni series Kali sana kutoka kwa wakorea ipo serious mno inahusiana na jamaa mmoja ana madeni makubwa halafu kazi hana katika harakati za kutafuta kazi anakutana na tangazo la kampuni inaitwa Spider staffing agency inayotoa ajira za muda zenye malipo mara 50 ya mshahara wa kawaida lakini Wana sharti moja la ajabu Hupaswi kutoa Siri yoyote kwa yanayoendelea hapo kazini.Rukeni nayo hii
 
Looks interesting. Nimecheki trela yake hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ