Series (Special thread)

Jambo kubwa nililojifunza ni serikali zetu hasas za kijamaa they live in lies kitu ambacho mwisho hucost life la wananchi wao.
 
Watoe kitu haswaaa, wana kazi nzito kuendeleza moto ule ule ama kuizid Ile ya kwanza. Apocalypto ina jina kubwa sana wasizingue
Uko sawa.

Kuna movie inaitwa AVATAR, sikuhizi siwezi kuifuatilia kama ambavyo nilifuatilia ile ya kwanza. Hizi nyingine sizielewi kabisa
 
Nimejaribu kuifungua hiyo flickystream kupitia PC ya mshikaji imegoma.

Sijui PC yangu niliiwekea vitu gani hadi iweze kufungua sites ambazo sehemu nyingine hazifunguki.
Nimejaribu kuifungua hiyo flickystream kupitia PC ya mshikaji imegoma.

Sijui PC yangu niliiwekea vitu gani hadi iweze kufungua sites ambazo sehemu nyingine hazifunguki.
Atest na vpn
 
Noma mno jason kibao tatizo noma mno kuna yule jason ambae yupo na mkewe nazani yule sio yeye😄😁
Ni yeye, huyo ndo original Jason (Jason1).
Blair uliemuona kwenye latest episode ni Blair wa dunia ya Jason2 (alieunda box), the same kwa Leighton ni wa dunia ya Jason2.
 
Sema Dark matter inaumiza kichwa alooo, nzuri ila inachanganya balaa
Imefikia patamu sana.

Leighton ametengeneza updated version ya box kwenye underground ya freight tunnel, maana kwenye pita pita zake za kusafiri through time amegundua hizo tunnels zipo kwenye same location katika realities tofauti.

Hatujui ina uwezo kiasi gani, so let's wait and find out.. tujiandae kuchanganyikiwa zaidi 😁
 
Duh imefika ep ya ngapi mimi nipo ep ya 6
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…