Blood & Oil sikupata kuifuatilia but for Last Ship, itakuwa premiered Summer. Kwa kawaida summer inaanza June 20 or 21 ingawaje wanaweza kuanza a week or two before or after hizo tarehe.
Mchezo safari hii unahamia pande za Asia, hususani China!