Series (Special thread)

Ukikutana na wenyewe wanakuambia kuanzia season two sijui 3 inakua kaliπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nyie mnaizungumzia breaking bad au mnapiga story zengine?
Kwamba kuanzia season 3 ndo inakua kali?

Ukiona kitu kinazungumziwa vizuri ujue kuna ukweli ndani yake.. labda mjitafakari nyie mlioona cha tofauti, ila BB ni the best!
 
Kwenye category ya madawa na utakatishaji pesa naiweka Narcos

Huyu jamaa Pablo alichoma zai ya dola milioni 2 ili tu apate moto wa kuotea yeye na binti yake wakiwa mafichoni.
View attachment 3680587
Narcos Mexico πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒchuma mwanzo mwisho ni motoπŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Nyie mnaizungumzia breaking bad au mnapiga story zengine?
Kwamba kuanzia season 3 ndo inakua kali?

Ukiona kitu kinazungumziwa vizuri ujue kuna ukweli ndani yake.. labda mjitafakari nyie mlioona cha tofauti, ila BB ni the best!
Hype inayopewa na inavyoanza ni vitu kumi tofauti

Ukiwaludia wanakuambia vumilia itachangamka na sio mmoja me ni zaid hata ya 10 wanasema same thing
 
Kuna member mmoja alikuwa anawachafua inbox mlimkosea nini?
Sijui alinyimwa nini 😹😹

Na tupicha twake twa zamani tena vipande.. mara kichw na nywele, mara zina emoj.

Hiyo mbwa hainijui.. ingekuwa inanijua ingekuwa na picha current hata angeiba napoweka status
 
Sijui alinyimwa nini 😹😹

Na tupicha twake twa zamani tena vipande.. mara kichw na nywele, mara zina emoj.

Hiyo mbwa hainijui.. ingekuwa inanijua ingekuwa na picha current hata angeiba napoweka status

Kama hiyo jamaa mshamba sana
 
View attachment 3680610
Kama hiyo jamaa mshamba sana
Ni mjinga, hiyo ni zamani kweli hata kwenye cm sidhani kama bado ipo, zaidi ya miaka miwili nyuma wakati naziweka uzi wa selfika, limetunza hadi leo

Tena hiyo picha nilikuwa namuonyesha Saint Anna low cut
Halijui hata kama nilishaacha kuwa na low cut kitambo kwa namna ambavyo halinifahamu hata kidogo 😁
 
Nashukuru Mungu sijaangalia
Season ya kwanza kwenye episode za mwanzoni inavyoanza lazima ikushawishi.

Ila huko mbeleni ni utapeli tu.

Huwa naifananisha na Series fulani ya kitambo inaitwa Kyle. Sijui kama umewahi kuicheki, inahusu jamaa mmoja hivi hana kitofu.

Ma director wa hizo series walianza kumuandaa mtazamaji aweke matarajio ya kuona mambo makubwa kwasababu walianza na utangulizi wenye kuweka alama ya kiulizo kwa mtazamaji ili awe na kiu ya kuendelea kufuatiilia zaidi.

Kwenye Kyle director alianza na utangulizi wa jamaa akiwa hana kitofu na kutengeneza curiosity kwa mtazamaji kujua huyu ni mtu wa aina gani. Lakini idea ikamshinda akapuyanga.

Homeland wakaanza kwa kutuonesha Brody akikabidhiwa tuzo kutokana na mission waliyofanya huko Middle East, kwa asilimia kubwa director alikuwa anatuaminisha huyu ndio nyota wa series. Mara tena kamgeuza kuwa gaidi na akaja kumuua.

Kuanzia hapo hakukuwa na stori ya maana, genre ika shift kutoka kwenye ujasusi hadi migogoro ya kifamilia (watoto wa brody
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…