Series (Special thread)

Na jana niliwaomba android ya sh ngapi mkanicheka 😹

Kwahiyo hapo sasa shida nini? Au nitumie nifungulie kwa pc
😝Aah utani mwingi wewe😃😃sasa 120k si unapata pop two😃😃
 
Huko si ulinipaga wakati nataka kuangalia ile series gani vile, nkashindwaa

Nafungua tsap kwa pc
Sogeza hiyo link huko, nione patasemaje penyewe
Game of thrones 😃😃

We ulidownload yote ukashindwa kuangalia😃😃

Pow Dakika 0
 
Hapo nimejaribu kumwonesha depal tu inavyo someka mimi ni mwendo wa 720p. Series kali kama day of the jackal ni mwendo wa 1080p. Kwa mfano leo wakileta defending jacob, your honor, dexter, NEMESIS, breaking bad zote hizo nitatembea na 1080.
Hii breaking bad ilinishinda aseee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…