Series (Special thread)

Series (Special thread)

Chimbo jipya wazee wa kutakatisha mbps kipande kimoya gb 3 kawaida

Kudadadek single episode ya neagley ina 7GB. SIO KWAMBA SIWEZI KUDOWNLOAD ila hiyo space sina na muda wa kusubiri 7GB per a single episode sina

Kunawatu huwa wanashangaa kwanini napenda 720p ni kwa sababu series nzima unakuta ina less than 4GB so kuishusha hainichukui muda mrefu kusubiri tofauti na episode moja ikiwa na GB kuamzia 2 na kuendelea
 
Kabisa kaka sio powa 😄😁😁😄
 
Nimemaliza the gentlemen. Vita kati ya eddy na freddy haitakuja iishe

All in all

Damu ni nzito kuliko maji.

Wa english nimekubali kazi zao
1789742183713.jpeg
 
Kudadadek single episode ya neagley ina 7GB. SIO KWAMBA SIWEZI KUDOWNLOAD ila hiyo space sina na muda wa kusubiri 7GB per a single episode sina

Kunawatu huwa wanashangaa kwanini napenda 720p ni kwa sababu series nzima unakuta ina less than 4GB so kuishusha hainichukui muda mrefu kusubiri tofauti na episode moja ikiwa na GB kuamzia 2 na kuendelea
Stream live moviebox au pita humu
 
Attachments

  • Screenshot_20260918-193920_One UI Home.jpg
    Screenshot_20260918-193920_One UI Home.jpg
    6.5 KB · Views: 5
Nimemaliza the gentlemen. Vita kati ya eddy na freddy haitakuja iishe

All in all

Damu ni nzito kuliko maji.

Wa english nimekubali kazi zao
View attachment 3673436
Hivi hii si ndio mshua anakufa halafu dogo anaaza kukutana na matycoon na i aonekana ana hekari za bangi? Nilianza tu kidogo mwaka juzi sikumalizaga.
Ni nzuri??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom