hili tambala nalipa 10/10 🎥 nmemaliza kuliona jana
View attachment 3666190
Kwakua ni mtazamo wako nakubali lakini usitumie kigezo cha rate kuonesha hiyo movie Kali wote tumeiona.....
Overall rate ni 8.7 na hii ni rotten tomatoes 🍅...
10/10 ni rating ya enjoyment binafsi, sio necessarily quality ya filmmaking.
The Runner ina weaknesses nyingi: screenplay yake ni derivative, suspense haijengwi kwa nguvu inayotarajiwa, character development ni shallow, villain anaangukia kwenye njia rahisi, na performance ya Gal Gadot haina emotional depth inayobeba premise.
Hata direction na editing zinakosoa kwa kuwa zinajaribu ku-create intensity bila kuipa story tension ya kweli. Kama ume-enjoy concept, 10/10 yako sawa kama personal taste
lakini uki-rate screenplay, characterization, suspense, direction na acting objectively, 10/10 ni ngumu kuitetea.
Hata mimi sikutegemea kama ingekua hivi waliahidi ingekua masterpiece lakini matakataka matupu..
Ukiona movie/series inafika rate ya 7.0+ kwenye criticism hapo hamna movie mkuu labda kama unapenda milio ya risasi ile