Mafia Democracy
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 251
- 932
Mkuu iyo app gani unatumia na mimi naitaji pleaseLeo mtandao uko poa sana
View attachment 3662331
Hizi zitanifaa weekend hii.
View attachment 3662332View attachment 3662333View attachment 3662417
Mkuu, mbona hii REEZN inagomea sehem ya ku choose language? Haiendelei kwingine zaidi ya hapo.Hii app ni noma hadi mpira?
Mtajijua wenyeweYan SILO ilivyoisha ni very disappointed
Imeisha imeisha au kuna msimu mwingine??Yan SILO ilivyoisha ni very disappointed
Tunasubili season 4 ambayo ndo itakua final , na uzuri apple wameshamaliza kushoot huo mzigo so mwakani tunamalizana nayoImeisha imeisha au kuna msimu mwingine??
Nasubiri iishe ndio niiangalie kwa utulivu kabisaTunasubili season 4 ambayo ndo itakua final , na uzuri apple wameshamaliza kushoot huo mzigo so mwakani tunamalizana nayo
Maximo ana misifa humuπView attachment 3662402
Mzigo upo hewani ukiwa na episodes zote 8 π.
Pakua hapa
Kama hukuwahi kuiona anza na season 1 zote zipo hapo
Inaonekana tamu sana hiiWeekend yako isikae kinyonge chukua single movie hiyo, mpya kutoka Apple
Ipo season 4 ni 2028Imeisha imeisha au kuna msimu mwingine??
Icheki google tu.Hii unaiptaa wapi mdau..kwenye play store au
Nimemaliza kutazama episode 10, nikaenda kusoma tena Gemini, nikauliza maswali mengi nikapata majibu, nilivyo serious kama vile kuna pesa inaingiza, so far nime enjoy sana Silo..!Guacamole umeshacheki season finale ya silo? Ni balaa β€βπ₯β€βπ₯ natamani season 4 iwekwe hata wiki ijayo maana nasikia tayari walishamaliza shooting mpaka ya season 4 kila kitu mpaka post production ni kusubiri muda ufike waiweke
Na ndio hii umeita chuma tuangalie? SelikavuYan SILO ilivyoisha ni very disappointed
Mkuu dosho12 leo ndo nmeamua kupita humu kuavoid spoilers, mana ndo nmetoka kuimaliza e10 muda si mrefu..Guacamole umeshacheki season finale ya silo? Ni balaa β€βπ₯β€βπ₯ natamani season 4 iwekwe hata wiki ijayo maana nasikia tayari walishamaliza shooting mpaka ya season 4 kila kitu mpaka post production ni kusubiri muda ufike waiweke
Fan theory wanasema huwenda isiwe 300 years, wengine wanasema 140 years.. of coarse kuna matumizi ya nanotech kwenye cryo preservation ila timing na mazingira yalivyo wengi wanasema havi match. Wengine wanasema huenda ni 50 years..Guacamole umeshacheki season finale ya silo? Ni balaa β€βπ₯β€βπ₯ natamani season 4 iwekwe hata wiki ijayo maana nasikia tayari walishamaliza shooting mpaka ya season 4 kila kitu mpaka post production ni kusubiri muda ufike waiweke