WamekwazaNamshukuru Mungu kiukweli, naomba tu wasini dissapoint wataniumiza mno..! maana kitu kikiwa kizuri wakilazimisha kurefusha wanajikuta wanaharibu..!
Mtoto mahenzi mno yule hasikii la muazini wala mnadi swala! Jules anapita na Rain aisee sio kwa hizi hasira!😅Ili mradi watuchanganye..
Alex unyama ni mwingi😹 kanifurahisha
Imeisha kishamba mbona? Au wataongeza Ep? Muisho gani huu jamani
Nmependa Syliva kuuliwa na Jules
Maana hakasikii ya wakubwa
Angebaki kwa Horace saa ngapi wangekaua?
Horace kila season anatutishia kufa mpaka nishachoka! Sema nilipenda ngumi za norman na mallory😂Wamekwaza
Mallory alimshoot Norman.. Norman kalala hapo chini uelekeo wa kufariki.. wakamuita Horace.. wakatudanganya kummpa nguvu Norman za kumshoot Horace
Imeisha ikihang.. sijui wataendelea au vipi
huwezi amini bado hata sijaitazama, usimalize maneno mamtu, people can disappoint you..!Wamekuwekea episode 8 za moto! Aisee.. hii haina comeback🙆🏽♀️
Perry ninaamini kuna namna anafaidika na suala zima la upinde, siyo bure..!Shida ya. Perry ni kuweka ushoga. Utanipa mrejesho kama humo wameweka au hawajaeeka
hiyo kitu ilikuwa imeisha, fan wakalazimisha iendelee, so they had to prolong the story, watajaribu kutia kila aina ya drama ili isije kuwa flop, hapo kuna Part 2 wataendeleza, hawawezi iachia njiani bila closure..!Wamekwaza
Mallory alimshoot Norman.. Norman kalala hapo chini uelekeo wa kufariki.. wakamuita Horace.. wakatudanganya kummpa nguvu Norman za kumshoot Horace
Imeisha ikihang.. sijui wataendelea au vipi
Umeona eeh!huwezi amini bado hata sijaitazama, usimalize maneno mamtu, people can disappoint you..!
Njoo tuhinjoiMahi lavu😊
Reacher amenikaa kumoyo☺️Njoo tuhinjoi
Dah kaka tupo wote aisee, m pia nimeanza kupata hii kasumba nikijitahidi sana episode moja tu mambo yanabadilika sana.Kila nikisema niangalie series au muvi ndani ya dakika kumi tu usingizi huu hapa. Wakati zamani nilikua seson 1 naimaliza kwa siku...Daah the empire has fallen walah.🥺
Kweli kila kitu na wakati wake
View attachment 3656856
Kwenye movie hiyo mtu mzima kabambikiwa kesi ya madawa ya kulevya. Amekula mvua miaka 25 jela kisa kugombea mwanamke na zungu ka unga mmoja hiviReacher amenikaa kumoyo☺️
Uwii naitaka hii😍Kwenye movie hiyo mtu mzima kabambikiwa kesi ya madawa ya kulevya. Amekula mvua miaka 25 jela kisa kugombea mwanamke na zungu ka unga mmoja hivi
Sijawahi angalia hyo series..nilisikia ina mambo ya kigasho mengiiii sanaWamenikwaza 😹
Kwanini Ep chache?
Inaitwaje hiiEnjoy jumapili na huu mzigo
View attachment 3655650
Mkuu tupe jinaUkiongeza na hii sio mbaya
View attachment 3655663
Yani hawaongei😂Miongoni mwa movies chache nilizo wahi kuona zenye maneno machache yanayo sikika. Tukiacha zile za mr bean
View attachment 3659488